Post AD

PICHA ZA MATCH YA BASKETBALL KATI YA SCOTC HEATS NA SENGEREMA SECONDARY SCHOOL

Ilikua mechi kali sana ambapo matokeo yalikua kama ifuatavyo SENGEREMA COTC 45 BASKETS AND SENGEREMA SECONDARY SCHOOL 49 BASKETS.

KIKOSI CHA SCOTC HEATS KILIKUA KIMEUNDWA NA WACHEZAJI WAFUATAO;-
Johanes Charles
Daniel Mihayo
Isdory Chogo(BIG)
Abraham Kanama
Derick Soud
Walter Audax

 









Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment